
Mwimbaji
wa bongofleva Diamond Platnumz ambae ameivunja rekodi ya kuwa msanii wa kwanza
kutoka Afrika Mashariki kushika nafasi ya kwanza kwenye kituo kikubwa cha TV
Ufaransa cha Trace Urban, amechaguliwa kushiriki tuzo za MTV Base.
MTV
ni kituo kingine cha TV Afrika ambacho pia hupatikana kwenye king'amuzi cha
DStv kwenye maeneo mbalimbali ya nchi za Afrika.
Diamond
na Anisa Mpungwe ndio watanzania waliochaguliwa kushiriki kwenye tuzo hizo
ambapo wamewekwa kwenye vipengele vitatu.
No comments:
Post a Comment