Powered By Blogger

Wednesday, March 12, 2014

MKONO MWINGINE KUTOKA PAMOJA RECORDS-->NAHAMA KIJIJI CHANGU_> by LUPOGEZZLE

HAPA LUPOGEZZLE (Issaya Lupogo) akiwa anachangia hoja mkutanoni-Hiroshima, JAPAN
Issaya Lupogo aka Lupogezzle ni mhadhiri wa chuo kikuu Mzumbe, anatoa huduma ya tafsiri pia
Baada ya ngoma zake zilizokwenda kwa majina ya "Ufisadi" sikiliza/tazama hapa  https://www.youtube.com/watch?v=4sX4nJgaTog na "Issaya & Aziza" sikiliza/tazama hapa https://www.youtube.com/watch?v=AHJjLuGRoCA sasa ameachia ngoma mpya inakwenda kwa jina "NAHAMA KIJIJI CHANGU" Isikilize hapa sijui hata anahama kijiji gani na kwa sababu zipi. Bofya hapa kudownload na kuisikiliza track hiyo https://www.hulkshare.com/mzikikazi/lupo-gizzle-nahama-kijiji-changu

No comments: