Powered By Blogger

Monday, February 10, 2014

WATU WANATOKA MBALI! EBU MUONE PROF JAY ALIKOTOKA NA SASA HIVI ALIPO


Prof Jay akiwa Darasa la Tano

Prof Jay akiwa Nyumbani kwake (Baada ya miaka mingi ktk game)



Not only that but also currently, the guy owns a very big/nice/expensive studio as you can see

Ukiziangalia hizi picha za Prof Jay utakubaliana na mimi kwamaba katika maisha unatakiwa kuzingatia yafuatayo;
1. Kutokata tamaaa
2. Shikilia kwa dhati/makini kazi uliyoamua kuifanya ilimradi isiwe haramu
3.Waza kupiga hatua nyingine mbele kila kukicha
4.Usirizike na ulichopata


Nina imani Prof Jay baada ya miaka miwili atakuwa mbali zaidi ya hapo.
Wasanii wachanga au watu mnaozani mna vipaji usiache kujaribu maana hata Prof Jay hakuanzia hapo alipo leo.

No comments: