Powered By Blogger

Monday, February 3, 2014

RAIS WA ZAMBIA MGONJWA: TAARIFA ZINAZOKINZANA ZATOLEWA




Pichani Michael Sata akipelekwa nchini Afrika Kusini kwa matibabu mwaka 2008.
KUMEZUKA sitofahamu kuhusu hali ya rais wa Zambia Michael Sata baada ya Ikulu kutoa taarifa zinazojkinzana na tetesi izlizopo mtaani kwamba rais huyo ni mgonjwa na yupo nje kwa matibabu.

Msemaji wa rais sata, George Chellah amesema kwamba ni kweli Rais ameondoka nchini humo lakini yupo katika likizo ya kikazi nchini Uingereza.

Hata hivyo taarifa za Zambia Reports zinasema kwamba taarifa hiyo inaficha ukweli kwamba rais huyo anaumwa na amekwenda Uingereza kwa uangalizi wa afya yake.
Imeelezwa kwamba kumekuwepo na usiri mkubwa juu ya hali ya afya ya Rais huyo.
Ifuatayo ni taarifa kamili ya Ikulu ya Zambia

TATE HOUSE
LUSAKA
THE REPUBLIC OF ZAMBIA
Media Statement
For Immediate Release
PRESIDENT SATA ARRIVES IN LONDON

 Sunday, February 2, 2014 – 
His Excellency, Mr. Michael Chilufya Sata, President of the Republic of
Zambia, has arrived in London, United Kingdom for his working holiday. Zambia’s High Commissioner to London, His Excellency, Mr. Paul Lumbi and the local diplomatic staff received the Head of State at London Heathrow Airport last evening.

The Head of State, who is accompanied by First Lady Dr Christine Kaseba left Addis Ababa, Ethiopia for aworking holiday in the UK after the official closing of the 22nd Ordinary Session of the African Union (AU) Heads of State and Government Summit on Friday evening.

Whilst in Ethiopia, President Sata held successful meetings of mutual interest and benefit to the country with various international groups and agencies as well as Heads of State and Government in and around the continent. The President is expected back home after his working holiday.
Issued by:
GEORGE CHELLAH
SPECIAL ASSISTANT TO THE PRESIDENT

PRESS AND PUBLIC RELATIONS

No comments: