Powered By Blogger

Sunday, February 2, 2014

JAPO KUAMINI NI NGUMU, ILA HUYU BINANADU KAFUNGA NDOA NA HUYU MNYAMA. HATARIIIIIIIIIII!


Siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco jimboni California nchini Marekani.

Mtu mmoja aitwaye Paul Horner pichani mwenye umri wa miaka 35 akiwa amevalia suti yake nadhifu alifunga ndoa na mbwa wake mwaminifu aitwaye Mac.


Mchungaji aliyefungisha ndoa hiyo Father McHale alionyesha kufurahishwa kwake na kitendo cha yeye kufungisha ndoa hiyo ya kihistoria nchini Marekani


No comments: